Like Box

Nahitaji Ndio Yako Lyrics By Gloria Muliro


Oooh oooh yeah

Yeah yeah

Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu uuuh
STILL ALIVE.
Jinsi ya kumtendea aaah mwanadamu
Basi mimi nisingekuwa, jinsi nilivyo
Ungeambiwa sifai, uanze kukanya vikali
Hata tena nisingekuwa, mahali nilipo
Unabariki unayependa aaah, Unabariki unavyopenda aaah
Ungekumbushwa ndambi zangu za kale, baba yoyo
Mimi, nahitaji eeeh
Ninataka ndio oo yako Yesu tu
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha aaah
Wala sijaona jicho, lenye pazia aaah
Ndio yako itanifungulia milango oooh
Hakuna sikio lenye funiko jamani
Utakunywa utakula mbele yao oooh
Adui zako wangelikuwa na uwezo ooo Wangefumba macho, wangefunika masikio ooo
Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa eeee
Meza utandaliwa mbele yao oooh
Ndio yako ndio itanisimamisha aaah
Nasema ndio, ndio ya bwana aaah aah
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Ninataka ndio oo yako Yesu tu
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Ndio yako itanifungulia milango oooh
Ndioo yakoo, ndioo yakoo
Yesu usiposema ndio, imani yangu akili zangu hazitaweza
Wanasema, sema ndio yatosha eeeh
Ndio yako ndio itanisimamisha aaah
Nahitaji ndio oo yako Yesu tu
Ninataka ndio oo yako Yesu tu
Ndio yako ndio itanisimamisha aaah
Ndio yako itanifungulia milango oooh
Utanifungulia mlango, Masiya aah
Ndio yako itanifungulia milango oooh Ndio yako ndio itanisimamisha aaah
Ndio yako itanifungulia milango oooh
Ooooh ndio yako ooh Ooooh ndio yako ooh Ooooh ndio yako ooh
Ooooh ndio yako ooh


Post a Comment

0 Comments