Like Box

Nani Kama Wewe by Gloria Muliro Lyrics

Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)*4

Mwenye nguvu kama wewe Bwana(nani kama wewe)

Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Mwenye enzi kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Tunajua hakuna(hakuna mwingine kama wewe Bwana)*4
Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)*2

Atupendaye kama wewe Bwana(nani kama wewe)

Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Anayetujali kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Mwenye enzi kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Mtakatifu kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana(nani kama wewe)
Tunajua hakuna(hakuna mwingine kama wewe Bwana)*6


                           

Post a Comment

0 Comments