Like Box

Msaidizi Lyrics By Gloria Muliro


Tuma Baba tuma msaidizi x2
Tuma Yesu, tuma msaidizi x2

Yesu uliahidi wanafunzi wako
Kwamba hautawaacha kama yatima
Bali utawatumia msaidizi
Awafariji mioyo
Awafunze, awape nguvu Nami naja mbele zako
Anifunze, anipe nguvu
Baba niko mbele zako Naomba unitumie msaidizi
Naomba Baba, nisaidie
Aniongoze kwa kazi yako Baba tuma msaidizi Tuma msaidizi
Nafungua bila mpango ukurasa wowote
Nataka nguvu mpya Kila usiku ninapoenda kulala
Kinachofuata naamka asubuhi kusema amina
Ninasoma mistari michache tu naanza sinzia Nafunga Biblia naanza kuomba Baba nisaidie,
Naomba, Nataka nguvu
Tuma nguvu zako, Tuma uwezo wako Tuma roho wako ndani yangu Baba (Refrain) Baba mimi siwezi chochote bila wewe
Mienenendo yangu aitawale
Naomba nguvu zako Baba (Refrain) Baba tuma, Nakuomba Baba, Tuma roho wako ndani yangu Anifunze, aniongoze, anitawale
Roho wako anifunze neno/ aombe/aimbe ndani yangu
Maombi yangu, kufunga kwangu aitawale
Naomba tuma BabaPost a Comment

0 Comments