Like Box

Kando Lyrics by Gloria Muliro


Kando ooh, Kando ooh, kando ooh Wacha. Kando ooh, kando ooh, Kando ooh Wacha. Tulipojuana mi nawe, Ulinipendea sana, Uliniamini sana, Ukanitafuta sana. Ulikesha kuomba Ukaniitasha ulichotakaaa Weweee weweee Ulikesha kuomba Ukaniitasha ulichotakaaa Weweee weweee Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha. Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha Taka jalani ulinimiminia, eti mbona ukitimize. Nitakumikia zaidi, Uliniomba kazi Nikakupa kazi Ukaniomba mtoto, Nikakupa watoto. Mimi Mungu wako, nikakuponya Magonjwa yote. Mimi eeh mwaminifu sana. Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha. Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha. Mbona hukeshi tena, sababu ya mume. Mbona hufungi tena, njaa yanilemea. Ibada yangu wachelewa, Baba niko busy. Nakuona kwa waganga, Niliona umechelewa. Mbona hukeshi tena, Sababu ya mke. Mbona hufungi tena, s hida zimekwisha. Ibada wachelewa, Baba ni watoto. Nakuona kwa waganga, Niliona umenyamaza. Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha. Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Mpango wa kandoo ooh, Wacha. Ulianza vitina, Ukaanza chonganisha, Ukaingiza na chuki. Sasa waanza ulevi, kwa mama pima, ukasahau jamii. Iiiyee Iiiyee Iiiyee Iiiyee Iiiyee Iiiyee Nisamehe, nisamehe, nisamehe Baba Nisamehe, nisamehe, Baba nisamehe. Ulikosa mwelekeo, lakini umetubu leo. Nimekusamehe mwanangu. Usirudie makosa Usirudie makosa Aaah mwanangu Nakupenda eehPost a Comment

0 Comments